Jtt, 19 Oktoba 2026

Utaridi CI Media

Habari Ndani ya Sayari.

,

Marekani Yatoa Tahadhari ya Usalama Kuwait, Bahrain na Jordan

Picha ya kuonesha tahadhari ya usalama ya Marekani kwa Kuwait, Bahrain na Jordan

Balozi za Marekani nchini Kuwait, Bahrain na Jordan zimeripotiwa kutoa tahadhari za kiusalama kwa raia wa Marekani kuhusu uwezekano wa vitisho dhidi ya maslahi ya Washington katika eneo la Mashariki ya Kati.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Tasnim, tahadhari hizo zimetolewa katika mazingira ya kuongezeka kwa mvutano wa kikanda, ikiwemo hofu ya kushadidi kwa mapigano yanayohusisha muungano unaoongozwa na Saudi Arabia na Yemen.

Raia wa Marekani walioko katika nchi hizo wametakiwa kuendelea kuwa waangalifu na kufuatilia taarifa za usalama.

Chanzo: Tasnim News
Mwandishi: Mohamed Tawakkal

Maoni

Maoni