Iran Yashambulia Kiwanda cha Maji na Umeme Kuwait Baada ya Marekani Kusambaratisha Miundombinu Yake ya Kiraia
KUWAIT CITY – Serikali ya Kuwait imetangaza kuwa mashambulizi ya Iran yaliyofanyika Ijumaa yamesababisha uharibifu mkubwa katika kituo cha kuzalisha umeme na kusafisha maji ya bahari (desalination), tukio linalozua hofu…