Urusi Yaitishia Uingereza Kuhusu Mashambulizi ya Ukraine kwa Kutumia Droni za Uingereza
Urusi imetoa onyo la moja kwa moja kwa Uingereza, ikisema London inaweza kukabiliwa na madhara makubwa baada ya ripoti kueleza kuwa Ukraine imetumia droni zilizotengenezwa Uingereza kushambulia viwanda vya kusafisha…