MASHARIKI YA KATI
-

Smotrich: Israel haina nia ya kujiingiza katika mzozo wa Marekani na Iran
Waziri wa Fedha wa Israel amesema hali ya sasa kati ya Marekani na Iran inanufaisha Israel, akisema Jerusalem…
-

Kamanda wa Jeshi la Ardhi la IRGC akagua vikosi vya operesheni katika visiwa vya kimkakati vya Ghuba ya Uajemi
Jenerali Mohammad Karami ametembelea vitengo vya kijeshi vinavyosimamiwa na Kamandi ya Mbele ya Madina Munawara, akitathmini utayari wa…
-

Ujasusi wa Israel wadai Iran ilihamisha maelfu ya mashine za kurutubisha urani katika kituo cha chini ya ardhi karibu na Natanz
Tel Aviv/Tehran — Ujasusi wa Israel umetathmini kuwa Iran ilihamisha maelfu ya mashine za kurutubisha urani (nuclear centrifuges)…
-

Marco Rubio: Milango ya Marekani iko wazi kwa ajili ya mazungumzo na Iran
Katibu wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ametoa ishara tata za sera ya kigeni ya nchi…
-

Moshe Ya’alon akiri kushindwa kwa Operesheni za kijeshi dhidi ya Iran
TEL AVIV, ISRAEL – Moshe Ya’alon, aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa utawala wa Israel, ametoa kauli nzito ya…
-

MILIPUKO YARIPOTIWA KATIKA MJI WA JASK, IRAN
AJASK, IRAN – Sauti za milipuko isiyopungua mitatu zimesikika katika mji wa pwani wa Jask, ulioko katika mkoa…