Rais Macron: Afrika ndio mustakabali wa kesho
Rais wa Ufaransa Macron: “Yeyote anayeipuuza Afrika hii leo anakosea na anaupoteza mustakabali wake mwenyewe”
Rais wa Ufaransa Macron: “Yeyote anayeipuuza Afrika hii leo anakosea na anaupoteza mustakabali wake mwenyewe”
Hivi karibuni, mtandao umelipuka kwa mjadala mkali kufuatia taarifa kwamba Dennis Ombachi, mpishi maarufu wa Kenya anayetambulika duniani kwa mapishi yake ya kwenye roshani (balcony), kumkaribisha Rais wa Ufaransa, Emmanuel…
Mamia ya waungaji mkono wa uongozi wa serikali ya kijeshi ya Mali Jumamosi walijumuika katika uwanja wa michezo katika mji mkuu, Bamako ili kuthibitisha uungaji mkono wao kwa serikali ya…
Utawala wa Rais John Dramani Mahama ulikataa mpango ambapo uliihitaji kupata msaada wa kifedha kwa kuipa Amerika data yake muhimu ya kiafya.Suala hilo hilo lilizima mazungumzo kati ya Amerika na…
Macron na Ruto wasaini makubaliano katika mkutano uliofanyika Ikulu ya Nairobi, na kufanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari. Tarehe 10, Mei 2026
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewafukuza kazi Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Fedha. Waziri wa Fedha alikuwa amehudumu katika wadhifa huo chini ya wiki mbili. Hatua hiyo ni…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Timu ya Chelsea ya Uingereza…
Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amezungumzia uwezekano wa kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu, akisema atakubali kuendelea kuiongoza nchi hiyo iwapo ataungwa mkono na…
Serikali ya Kenya imetoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, pamoja na wananchi wa Tanzania kwa mapokezi ya kipekee na ukarimu waliouonyesha wakati wa…
Wimbi jipya la mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni, linalowalenga wahamiaji wa Kiafrika na biashara zao huko Afrika Kusini linatishia kuteteresha uhusiano wa nchi hiyo na nchi nyingine za Afrika.Katika…