Hormuz : Mshipa Mkuu wa Intaneti ya Dunia
Mlango wa Bahari wa Hormuz, unaojulikana duniani kama njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta, una jukumu jingine nyeti ambalo mara chache huzungumziwa: kuwa sehemu ya moja ya njia kuu za…
Mlango wa Bahari wa Hormuz, unaojulikana duniani kama njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta, una jukumu jingine nyeti ambalo mara chache huzungumziwa: kuwa sehemu ya moja ya njia kuu za…
Beijing — China imesema inaendelea kuwasiliana na pande zote husika, ikiwemo Iran, katika juhudi za kupunguza mvutano na kumaliza mapigano yanayoendelea katika eneo hilo.Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje…
Trump anaripotiwa kuchoshwa na kukatishwa tamaa na vita dhidi ya Iran, huku mzozo huo ukiendelea kwa muda mrefu zaidi kuliko alivyotarajia na bila dalili ya ushindi wa wazi. Kulingana na…
Rais Masoud Pezeshkian amesimulia kwa kina mkutano wake wa hivi karibuni na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, akielezea hali ya kikao hicho pamoja na sifa…
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewafukuza kazi Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Fedha. Waziri wa Fedha alikuwa amehudumu katika wadhifa huo chini ya wiki mbili. Hatua hiyo ni…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Timu ya Chelsea ya Uingereza…
Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amezungumzia uwezekano wa kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu, akisema atakubali kuendelea kuiongoza nchi hiyo iwapo ataungwa mkono na…
Makampuni ya usafirishaji baharini yameripotiwa kuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu kutuma meli zao kupita katika Mlango wa Hormuz, mojawapo ya njia muhimu zaidi za usafirishaji wa mafuta duniani. Baadhi ya…
Wimbi jipya la mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni, linalowalenga wahamiaji wa Kiafrika na biashara zao huko Afrika Kusini linatishia kuteteresha uhusiano wa nchi hiyo na nchi nyingine za Afrika.Katika…
Iran imevuruga mipango ya Rais wa Marekani, Donald Trump, si tu katika nyanja za uchumi, siasa na masuala ya kijeshi kufuatia mvutano kati ya pande hizo mbili, bali pia katika…