Karoline Leavitt, msemaji au pambo la sera kali za Trump ?
Je, Karoline Leavitt amekuwa msemaji hasa wa White House, au “sura ya kike” tu iliyokusudiwa kupamba na kufanya sera kali za Trump zionekane kuwa zenye mvuto na kukubalika? Karoline Leavitt,…