Joho,Nassir Kupambana na Jicho Pevu Mwaka 2027
Joto la kisiasa linaanza kupanda katika Kaunti ya Mombasa huku maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2027 yakianza kuchukua mwelekeo mpya, hasa katika kinyang’anyiro cha ugavana. Mchuano huo unatarajiwa kuwa mkali,…