Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesisitiza haja ya kuimarisha na kupanua uhusiano wa pande mbili na Vietnam.
Balozi mpya wa Iran nchini Vietnam, Javad Ghasemi, amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, siku ya Jumapili kabla ya kuondoka kuelekea Hanoi kuanza rasmi majukumu…