ULAYA YAWEKA “UKUTA” MPYA: Sheria Kali za Ukimbizi Zaanza Kutumika Rasmi Leo
BRUSSELS, Ubelgiji – Umoja wa Ulaya (EU) umeanza rasmi ukurasa mpya na mgumu katika usimamizi wa wahamiaji baada ya kuanza kutekelezwa kwa mageuzi makubwa ya sheria za ukimbizi kuanzia usiku…