Msafara wa Sumud Flotilla: Wanaharakati 18wa Uturuki wakamatwa na Israel
Jeshi la Israel limezuia msafara wa Global Sumud Flotilla katika maji ya kimataifa, na kukamata meli 21, kulingana na waandaaji wa msafara huo.Takribani wanaharakati 175, wakiwemo raia wa Uturuki, walikamatwa,…