Somaliland yafungua ubalozi wake Yerusalemu.
Somaliland, jimbo lililojitangaza kuwa huru na linalotambuliwa rasmi na Israel pekee, limefungua ubalozi wake mpya mjini Yerusalemu. Hatua hiyo imethibitishwa na Balozi Mohamed Hagi. Kwa mujibu wa taarifa za maafisa…