Rice aiponda serikali ya Trump: “makubaliano na Iran ni waraka wa kusalimu amri”
WASHINGTON D.C, MAREKANI – Aliyekuwa Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani, Susan Rice, ametoa shutuma nzito dhidi ya makubaliano mapya yaliyofikiwa kati ya serikali ya Marekani na Jamhuri ya…