Dola Trilioni 1.2 Kujenga ‘Golden Dome’: Je, Mradi wa Trump Utaweza Kuilinda Marekani Dhidi ya Urusi na China?
WASHINGTON — Ofisi ya Bajeti ya Bunge la Marekani (CBO) imesema kuwa mfumo wa ulinzi wa makombora unaopendekezwa na Rais Donald Trump, unaojulikana kama “Golden Dome,” unaweza kugharimu hadi dola…