Ombachi Kumkaribisha Emmanuel Macron – Je, Ni Mafanikio ya Kitaaluma au Usaliti wa Kisiasa?
Hivi karibuni, mtandao umelipuka kwa mjadala mkali kufuatia taarifa kwamba Dennis Ombachi, mpishi maarufu wa Kenya anayetambulika duniani kwa mapishi yake ya kwenye roshani (balcony), kumkaribisha Rais wa Ufaransa, Emmanuel…