China na Myanmar Zaimarisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kiusalama
BEIJING, CHINA – Rais wa China, Xi Jinping, amekutana na kiongozi wa Myanmar, Min Aung Hlaing, mjini Beijing, katika mkutano uliolenga kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili.…