Kutoka Uraibu Hadi Usalama wa Watoto: Von der Leyen Atangaza Vita Dhidi ya TikTok, Meta na X
Ursula von der Leyen amesema kuwa hatua zinachukuliwa dhidi ya TikTok kutokana na muundo wake unaodaiwa kuchochea uraibu kwa watumiaji. Amesema vipengele kama kuvinjari bila kikomo, video kuchezwa zenyewe, pamoja…