Mwanamke mwenye asili ya kiirani ndiye chanzo cha Macron kuchapwa kofi na mkewe
Mwandishi wa jarida la Kifaransa la Paris Match, Florian Tardif, ametoa madai mapya kuhusu kile alichodai kuwa ni chanzo cha mvutano kati ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe…