Arsenal Washinda Taji la Ligi Kuu ya England 2025–26 Baada ya Manchester City Kujikwaa Dhidi ya Bournemouth.
Arsenal imetawazwa rasmi kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya England (Premier League) kwa msimu wa 2025–26, baada ya kugundulika kwamba wapinzani wao wakuu, Manchester City, wameteleza katika mchezo wao dhidi…