“Tusipoibadilisha Serikali Hii, Uhusiano wa Israel na Dunia Utatoweka” – Yair Lapid
TEL AVIV, ISRAEL – Kiongozi wa upinzani nchini Israel, Yair Lapid, ametoa tamko zito kupitia ukurasa wake wa kijamii, akitahadharisha juu ya kile alichokiita “kuporomoka kwa diplomasia ya nchi hiyo”…