SAKATA LA BALOGUN: Infantino akiri kwamba alipigiwa simu na Donald Trump
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amethibitisha kupokea simu kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, aliyehoji kuhusu adhabu ya kufungiwa kwa mshambuliaji wa timu…