Heche: Lissu Aumwa Tumbo kwa Maumivu Makali Gerezani
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema amepokea taarifa kutoka kwa mdogo wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kuwa Lissu anaumwa tumbo na anapata…