DAKIKA 80 ZA PATASHIKA: Jinsi Ghalibaf Alivyozima Mazungumzo na Marekani.
TEHRAN, IRAN – Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amefichua mzozo mzito wa kidiplomasia uliopelekea upande wa Iran kusitisha ghafla mazungumzo na Marekani, kufuatia lugha ya vitisho kutoka…