Rais Tshisekedi aazimia kugombea muhula wa tatu wa urais, Kongo
Rais FĂ©lix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amezungumzia uwezekano wa kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu, akisema atakubali kuendelea kuiongoza nchi hiyo iwapo ataungwa mkono na…