Hillary Clinton: Kwa muda mrefu Netanyahu amekuwa na shauku iliyopitiliza ya kuiangamiza Iran
WASHINGTON D.C. — Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu mahusiano yake ya kidiplomasia na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, akimtaja…