Guterres: Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lazima libadilike ili Kuondoa uonevu na kuakisi hali halisi ya dunia
NEW YORK, MAREKANI — Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema mageuzi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hayaepukiki, akisema muundo wa sasa hauakisi mgawanyo wa…