Uturuki, Saudi Arabia na Pakistan kuunda mkataba wa ulinzi wa pande tatu uitwao “Makubaliano ya Makka”
Jeddah, Saudi Arabia — Uturuki, Saudi Arabia na Pakistan zinatarajiwa kusaini mkataba wa ulinzi wa pande tatu ambao umepewa jina rasmi la “Makubaliano ya Makka” (Mecca Agreement), kwa mujibu wa…