Putin aonya nchi za magharibi “meli zetu sio shamba la bibi, mkizikamata na sisi tutakamata za kwenu”
Rais Vladimir Putin ameonya kuwa Russia itajibu kwa hatua sawia iwapo nchi za Ulaya zitaanza kukamata meli za kibiashara za Russia, akisema Moscow inaweza kuchukua hatua hiyo hata katika maeneo…