Netanyahu aishambulia Uingereza, aiita “Jamhuri ya Kiislamu ya Uingereza”
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameishambulia serikali ya Uingereza inayoongozwa na Chama cha Labour, akiita nchi hiyo kwa jina la kejeli “Jamhuri ya Kiislamu ya Uingereza”, huku mvutano kati…