Waziri mkuu Ubelgiji ampa makavu Trump: lengo la NATO ni kujihami sio uchokozi
Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Bart De Wever, amesema kuwa Ibara ya 5 ya NATO haihalalishi nchi mwanachama kuanzisha mashambulizi dhidi ya taifa jingine kwa uamuzi wake binafsi kisha kutarajia washirika…