Iran yatangaza kisasi cha “mwanajeshi mmoja wa Marekani kwa kila raia wake atakayeuawa”
Kamanda wa Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya, Meja Jenerali Ali Abdollahi, amesema Iran imeweka kanuni mpya ya kulipiza kisasi, akionya kuwa kifo cha kila raia wa Iran katika mashambulizi ya…