“Tuko Tayari Kulipia Gharama”: Naim Qassem Aweka Masharti ya Kusitishwa kwa Uvamizi Lebanon
BEIRUT, LEBANON – Katibu Mkuu wa harakati ya Hezbollah, Naim Qassem, ametoa hotuba nzito iliyoashiria msimamo thabiti wa kundi hilo kuhusu mustakabali wa usalama wa Lebanon na hatima ya vita…