Iran Yaikatilia Marekani: “Hatutanunua Bidhaa Zenu kwa Fedha Zetu Zilizokuwa Zimezuiliwa.”
TEHRAN, IRAN Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amekanusha vikali madai yaliyotolewa na serikali ya Marekani (Washington) kwamba Iran inapanga kutumia fedha zake zilizokuwa zimezuiliwa kwa ajili ya…