Wimbi Jipya la Mashambulizi Gaza: Watu Wanane Wauawa, Wakiwemo Mama na mwanae
GAZA – Hali ya sintofahamu na majonzi imetanda tena katika Ukanda wa Gaza baada ya wimbi jipya la mashambulizi ya kijeshi ya Israel kuripotiwa Jumatatu hii, hali inayozidi kukiuka makubaliano…