CUBA: “Hatutafuti Vita, Lakini Hatuogopi,” Rais Díaz-Canel Aipa makavu Marekani
HAVANA, Cuba – Rais wa Cuba, Miguel Díaz-Canel, ametoa onyo kali kwa serikali ya Marekani akisisitiza kuwa nchi yake haitishwi na shinikizo lolote la kijeshi. Kauli hiyo imekuja kufuatia mfululizo…