Marekani yaiwekea vikwazo Rwanda kwa tuhuma za magendo ya Dhahabu
KIGALI/WASHINGTON – Serikali ya Marekani imetangaza hatua kali za kiuchumi dhidi ya watu wawili na makampuni manne ya madini nchini Rwanda, ikituhumiwa kuhusika katika mnyororo wa biashara haramu ya madini…