Edhah Abdallah Avuna Faida Kubwa Baada ya Uwekezaji wa Mabilioni Sekta ya Saruji Kenya
Mfanyabiashara wa Tanzania, Edhah Abdallah, ameanza kupata faida kubwa kutokana na uwekezaji wake katika sekta ya saruji nchini Kenya kupitia Bamburi Cement na East African Portland Cement Company (EAPC). EAPC…