Mfahamu mwanasiasa wa Uganda anayegombea nafasi ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa
Uganda imemuidhinisha mwanadiplomasia na mwanasiasa mkongwe Olara Otunnu kuwa mgombea wake katika kinyang’anyiro cha nafasi ya Katibu Mkuu ajaye wa Umoja wa Mataifa (UN). Otunnu, ambaye anaungwa mkono na serikali…