Utafiti waonyesha asilimia 47 ya Wanademokrasia wanaamini jaribio la kumuua Trump lilipangwa
Gazeti moja nchini Marekani limeripoti kuwa utafiti mpya wa Taasisi ya Manhattan umeonesha matokeo ya kushangaza kuhusu mtazamo wa wanachama wa chama cha Democratic kufuatia jaribio la kumuua rais, Donald…
Medvedev: Malumbano ya Marekani na Ulaya ni ushindi mkubwa kwa Urusi
Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Urusi, Dmitry Medvedev, amesema kuwa mvutano unaoendelea kati ya Marekani na nchi za Ulaya unaweza hatimaye kupelekea ushindi kwa Urusi. Akizungumza kuhusu hali…
Ni kwanini Israeli iliundwa?
Mwamko wa Kiislamu ni mwanzo wa mwisho wa nchi za Magharibi na kuhodhishwa kwake katika utawala wa dunia, hivyo basi, kuchunguza vipimo vya uungaji mkono wa nchi zote za Magharibi…
Mpango wa Trump kuhusu Gaza waanza kufeli; kituo cha CMCC kufungwa
WASHINGTON – Mpango wa amani wa Rais Trump nchini Gaza unaonekana kulegalega kufuatia uamuzi wa Marekani wa kufunga kituo chake kikuu cha uratibu wa kijeshi (CMCC). Hatua hii inajiri huku…
Mmiliki wa Telegraph na Politico, Mathias Döpfner, amewaambia waandishi wa habari kwamba lazima waiunge mkono Israel au wajiuzulu, jambo lililozua madai ya kuingilia uhuru wa uhariri.
Mmiliki wa Telegraph na Politico, Mathias Döpfner, amewaambia waandishi wa habari kwamba lazima waiunge mkono Israel au wajiuzulu, jambo lililozua madai ya kuingilia uhuru wa uhariri. Wakati wa mkutano wa…
Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Washuka kwa Kiwango cha Chini Zaidi katika Miaka 25
Uhuru wa vyombo vya habari duniani umeshuka hadi kiwango chake cha chini zaidi katika kipindi cha miaka 25, kulingana na ripoti ya Reporters Without Borders. Kwa mara ya kwanza, zaidi…
Trump aendeleza Mashambulizi yake dhidi ya kiongozi wa Ujerumani
Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kumkosoa vikali Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, katika chapisho lake la Truth social akisema kwamba anapaswa kuelekeza juhudi zaidi katika jitihada za kukomesha vita…
Chombo cha habari cha Kizayuni channel 12: Netanyahu amekuwa alama ya “Shetani”
Chombo cha habari cha kiisraeli "Channel 12" katika uchambuzi wake kimeashiria kuporomoka pakubwa kwa nafasi ya Israel katika kiwango cha kimataifa. Katika uchambuzi huo, mtandao huo umekiri kuwa jina la…
Msafara wa Sumud Flotilla: Wanaharakati 18wa Uturuki wakamatwa na Israel
Jeshi la Israel limezuia msafara wa Global Sumud Flotilla katika maji ya kimataifa, na kukamata meli 21, kulingana na waandaaji wa msafara huo.Takribani wanaharakati 175, wakiwemo raia wa Uturuki, walikamatwa,…
Trump asema Marekani inachunguza uwezekano wa kupunguza wanajeshi nchini Ujerumani
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kupitia mtandao wake wa Truth Social kwamba Marekani kwa sasa inachunguza na kutathmini uwezekano wa kupunguza idadi ya wanajeshi wake walioko nchini Ujerumani. Ameongeza…