Meli ya gesi ya Qatar yaripotiwa kupita Mlango wa Hormuz kwa ruhusa ya Iran
Meli ya kubeba gesi asilia iliyoyeyushwa (LNG) inayomilikiwa na Qatar, iitwayo “Al‑Khariyat”, imetuma ishara katika maji ya Bahari ya Oman, kulingana na taarifa za ufuatiliaji wa meli. Taarifa zinaonyesha kuwa…
‘Usaliti’ au Uhuru? tetesi UAE kujindoa katika umoja wa nchi za kiarabu ili kuikumbatia Israel
Baadhi ya vyanzo vya habari vinaripoti uwezekano wa Falme za Kiarabu (UAE) kujiondoa katika Umoja wa Nchi za Kiarabu, wiki moja baada ya kutangazwa kwa habari za kujiondoa kwa nchi…
Mwakilishi wa Bunge la Marekani asema Trump ni tishio kwa usalama wa nchi
Mwakilishi wa Chama cha Democratic katika Bunge la Marekani, Seth Moulton, amesema kuwa rais wa Marekani Donald Trump ni tishio kwa usalama na uthabiti wa Marekani. Akizungumza kuhusu wasiwasi unaoibuka…
Putin: Kuendelea kwa vita kati ya Marekani na Iran hakuna faida kwa yeyote
Putin amesema kuwa kuendelea kwa vita kati ya Marekani na Iran hakutanufaisha upande wowote. Amesema pia kuwa mgogoro huo ni mgumu sana na umeiweka Urusi katika hali ngumu, akieleza kwamba…
Ripoti ya New York Times kuhusu kutumwa kwa bidhaa muhimu na silaha za Urusi kwenda Iran kupitia Bahari ya Caspian.
New York Times imeripoti kuwa Bahari ya Caspian imekuwa njia muhimu ya kimkakati kwa Iran na Urusi katika kipindi cha mvutano wa kikanda na shinikizo la Marekani. Kwa mujibu wa…
Ehud Barak: Netanyahu Amekuwa Kikaragosi cha Trump
Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Barak, amekosoa vikali mwenendo wa Waziri Mkuu wa sasa, Benjamin Netanyahu, katika mahusiano yake na Marekani. Katika kauli yake, Barak alisema kuwa Netanyahu…
Mufti wa Oman awataka Waislamu kuunga mkono Iran na Gaza
Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed Al‑Khalili, ametoa wito kwa Waislamu duniani kuonyesha mshikamano wao na Iran na Gaza kufuatia maendeleo ya hivi karibuni katika eneo la Mashariki ya Kati.…
Hormuz : Mshipa Mkuu wa Intaneti ya Dunia
Mlango wa Bahari wa Hormuz, unaojulikana duniani kama njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta, una jukumu jingine nyeti ambalo mara chache huzungumziwa: kuwa sehemu ya moja ya njia kuu za…
Maandamano Dhidi ya Netanyahu: Vyombo vya Dola Vyaingilia Kati Kudhibiti Umati Tel Aviv na Jerusalem
Taarifa kutoka katika vyombo vya habari zinaonyesha kuwa mamia ya waandamanaji walijitokeza barabarani wakipinga serikali ya Netanyahu, huku vikosi vya usalama vikisimamisha magari ya kupambana na ghasia pamoja na kutumia…
Putin: Urusi Inatumai Mgogoro wa Iran Uishe Haraka, Tayari Kurudia Operesheni ya Kuondoa Urani ya 2005.
Rais wa Urusi amesema kuwa kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama katika Mashariki ya Kati kutaleta hasara kwa pande zote, akisisitiza kuwa Moscow inatumaini mgogoro unaohusiana na Iran utapatiwa suluhisho…