Ujasusi wa Israel wadai Iran ilihamisha maelfu ya mashine za kurutubisha urani katika kituo cha chini ya ardhi karibu na Natanz
Tel Aviv/Tehran — Ujasusi wa Israel umetathmini kuwa Iran ilihamisha maelfu ya mashine za kurutubisha urani (nuclear centrifuges) kwenda katika eneo la Mlima Pickaxe, kituo cha nyuklia kilicho chini ya…