MASHARIKI YA KATI
-

Kimenuka Hormuz: Iran yalenga meli tatu za mafuta na vyombo vitatu vya jeshi la Marekani
Jeshi la wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran limetangaza mashambulizi dhidi ya meli…
-

Idara ya Ujasusi Marekani: Iran yazidi kujiamini vitani
Tathmini mpya za kijasusi za Marekani zinaonyesha Iran imeongeza kujiamini katika uwezo wake wa kijeshi na huenda ikawa…
-

“Hatutosubiri kushambuliwa kwanza” — Jeshi la Iran lashambulia kambi ya Marekani Jordan
Iran imetangaza mashambulizi ya kinga ya mapema dhidi ya kambi ya Marekani nchini Jordan, huku jeshi lake likisema…
-

Mafuta kiasi gani yanapita Hormuz? Takwimu zatofautiana na madai ya Marekani
Takwimu za Kpler zinaonyesha usafirishaji wa mafuta kupitia Hormuz bado uko chini sana ya viwango vya kabla ya…
-

Jinsi Iran Ilivyovunja Mtandao wa Ugavi wa Meli za Kivita za Marekani
Mashambulizi ya Iran yamevuruga mtandao wa ugavi wa Jeshi la Majini la Marekani katika Ghuba, yakilazimisha meli kusafiri…
-

Syria yajipendekeza kuwa njia mbadala ya mafuta kukwepa Hormuz
Syria inataka kuwa njia mbadala ya kusafirisha mafuta ya Iraq na Ghuba kwenda Mediterania, huku mpango wa bomba…