“B- 52 mwavuli wa nyuklia” : Ndege ya mashambulizi ya masafa marefu ya Marekani yaanguka
CALIFORNIA, MAREKANI Jeshi la Anga la Marekani limepata pigo kubwa baada ya moja ya ndege zake muhimu na zenye nguvu zaidi, aina ya B-52 Stratofortress, kuanguka muda mfupi baada ya…