Ufaransa Yatafuta Mshirika Mpya wa Kijeshi kwa UAE Baada ya Mradi wa FCAS Kukwama
PARIS/ABU DHABI – Ufaransa inafanya mazungumzo ya siri na Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kuunda ushirikiano mpya wa kiulinzi, hatua inayotajwa kuwa ni mbadala wa kimkakati kufuatia kusambaratika…