Trump aonya China na Urusi dhidi ya kuiuzia Iran silaha
Rais wa Marekani Donald Trump amezionya China na Urusi dhidi ya kuipatia Iran silaha, akisema hatua hiyo ingekuwa na madhara makubwa kwa nchi hizo wakati vita kati ya Washington na…
Rais wa Marekani Donald Trump amezionya China na Urusi dhidi ya kuipatia Iran silaha, akisema hatua hiyo ingekuwa na madhara makubwa kwa nchi hizo wakati vita kati ya Washington na…
Maafisa wa kijeshi na msemaji wa Pentagon wametoa maelezo yanayokinzana kuhusu kuondolewa kwa majina ya wanajeshi wanne waliouawa baada ya tangazo la usitishaji mapigano. WASHINGTON, MAREKANI — Pentagon imepunguza ghafla…
Ni asilimia 6 pekee ya Waingereza walio tayari kujitolea kujiunga na jeshi iwapo nchi yao itakabiliwa na uvamizi, huku wengi wakikosa imani na uwezo wa vikosi vya Uingereza kuilinda nchi.…
Ripoti ya CNN yadai Idara ya Ulinzi ya Marekani imekuwa ikichelewesha kutangaza idadi ya wanajeshi waliojeruhiwa kutokana na mashambulizi ya Iran, ikisema hatua hiyo inalenga kulinda usalama wa wanajeshi wake.Idara…
Tel Aviv/Tehran — Ujasusi wa Israel umetathmini kuwa Iran ilihamisha maelfu ya mashine za kurutubisha urani (nuclear centrifuges) kwenda katika eneo la Mlima Pickaxe, kituo cha nyuklia kilicho chini ya…
Wakati ngoma ya vita ikiendelea kurindima katika Mlango-bahari wa Hormuz, diplomasia ya dharura imeanza kuchukua mkondo mpya. Pakistan na Qatar zimejitokeza na mpango wa dharura wa kuziokoa Washington na Tehran…
Uwezo wa kijeshi wa Marekani uko hatarini. Ripoti mpya kutoka kwa The Telegraph imeibua swali zito: Je, Washington ina rasilimali za kutosha za kuendeleza vita vikubwa dhidi ya Iran? Jibu,…
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, imelaani vikali kauli ya Meya wa New York, Zohran Mamdani, kufuatia hatua yake ya kusema kuwa anatafakari uwezekano wa kumkamata kiongozi huyo…
Marekani imethibitisha kuwa wanajeshi wake wawili wameuawa nchini Jordan na mwingine bado hajulikani alipo, kufuatia mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) yanayodaiwa kufanywa na Iran. Kamandi Kuu…
Mgogoro kati ya Marekani na Iran umeingia katika hatua yenye wasiwasi mkubwa, huku mashambulizi ya kijeshi yakiendelea kuongeza hofu ya vita vya muda mrefu ambavyo vinaweza kuathiri siasa za kimataifa,…