Tehran salama: hakuna majeruhi walioripotiwa hadi sasa baada ya mashambulizi ya Israel
TEHRAN, IRAN– Mkuu wa Idara ya Huduma za Dharura katika Mkoa wa Tehran, Mohammad Ismail Tavakoli, amewahakikishia wananchi kuwa hali ya usalama wa raia imeimarika na hakuna majeruhi yeyote aliyeripotiwa…