Jeshi la Iran lapiga meli za Marekani baada ya Marekani kukiuka maagano ya usitishaji wa vita
Msemaji wa Makao Makuu ya Khatam al‑Anbiya ametangaza kuwa jeshi la Marekani limetekeleza mashambulizi dhidi ya meli za Iran na maeneo ya pwani, kitendo ambacho kimetajwa kuwa uvunjaji wa makubaliano…