utaridi
-

Tehran salama: hakuna majeruhi walioripotiwa hadi sasa baada ya mashambulizi ya Israel
TEHRAN, IRAN– Mkuu wa Idara ya Huduma za Dharura katika Mkoa wa Tehran, Mohammad Ismail Tavakoli, amewahakikishia wananchi…
-

Iran yatetea shambulio lake: “ni haki yetu ya kujihami,” yaishutumu Marekani kwa kushirikiana na Israel
TEHRAN, IRAN Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Bwana Baghaei, ametoa tamko rasmi kufuatia hatua…
-

Marufuku ya Baharini: Yemen imetangaza rasmi kupiga marufuku meli zote za Israel kupita katika Bahari ya Shamu kuanzia sasa
SANA’A, YEMEN – Msemaji wa Jeshi la Yemen, Yahya Saree, ametangaza rasmi kuzuia harakati zote za meli za…
-

KISHINDO CHA ‘OPERESHENI NASR’: Iran Yashambulia Kambi za Anga za Israel
TEHRAN, IRANKitengo cha Uhusiano wa Umma cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kimetangaza…
-

“NIKO MAFICHONI”: Balozi wa Marekani Asimulia Vishindo vya Milipuko Inavyotikisa Israel
TEL AVIV, ISRAELBalozi wa Marekani nchini Israel ametoa taswira ya hofu na taharuki inayotanda nchini humo kufuatia mashambulizi…
-

Israel: Iran na Yemen zaanzisha mashambulizi ya pamoja ya makombora
TEL AVIV – Vyanzo vya habari kutoka ndani ya Israel vimeripoti kutokea kwa shambulio kubwa la makombora lililofanywa…