Trump ashangazwa na Taarifa za kijasusi za Marekani kuhusu makombora ya chini ya ardhi ya Iran
Taarifa mpya za kijasusi za Marekani zimeeleza kuwa uwezo wa makombora ya chini ya ardhi wa Iran ni mkubwa na tata zaidi kuliko ilivyokadiriwa hapo awali. Kwa mujibu wa ripoti…