Serikali: Uchunguzi wa Kutoweka kwa Humphrey Polepole Bado Unaendelea
DAR ES SALAAM, Julai 16 – Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali inaendelea na uchunguzi kuhusu kutoweka kwa mwanasiasa Humphrey Polepole, huku akisisitiza kuwa uchunguzi…